Verse 1 (Bushoke)
Ata kama ungekua hunpendi mimi, ungenieleza
Kuliko kuniacha hivi maskini, ninateseka
Rhoda analia, anasema umemuacha
Na mimi ninalia, Mama Rhoda umenitupa!
Chorus 2x
Mama Rhoda, umeniacha ah
Mama Rhoda, utanikumbuka ah
(Chameleone)
Ungesema nijue kosa langu
Kuliko kuniacha hapa peke yangu
Myaka mingi nafikiri wewe wangu
Kumbe unapoteza muda wangu
Sikiliza!
Rhoda nimedata
Nitakupa unachotaka
Mwengine zaidi sitamupata
Chameleone, nitakufata!
Repeat Chorus 2x
(Bushoke)
Mtima gwange guli eyo gyoli (Mama Rhoda!)
Njagala mberenga wooli (Mama Rhoda!)
Njo basi uniokoe Bushoke nateseka
Njo basi unione Chameleone analia ah!
Repeat Chorus 2x
(Chameleone)
Nataka tuwe pamoja baby
Nachotaka nitakupa lady
Rhoda, you drive me crazy
Unaniachia nani baby
Sikiliza!
Rhoda nimedata
Nitakupa unachotaka
Mwengine zaidi sitamupata
Chameleone, nitakufata!