Chorus 2x
Ay Mama ekipepeo oh
Kipepeo oh oh oh kipepeo ohh!
Ay Mama ekipepeo oh
Kipepeo oh oh oh kipepeo ohh!
Tulipokuja hapa tuliwakuta
Tulipo fika waka'anza kujuta
Myaka mingi tulikua tuota
Tusikike tujulikane ka'nyota
Hatukudhani kama tutawakuta
Bahati ya mungu tkalipuka
Chap chap na kazi nzuri tuka fika
Tuko nao pamoja tunaruka!
Repeat Chorus 2x
Kama kipepeo napepea kila mali
Namushukru mungu watu wananikubali
Kama wengi ata mi nilitoka mbali
Kufika hapa nilipo sikibahati
Wengi wanataka kunishukisha
Nabado nawapa mikono wanarusha
Wenye roho mbaya tunwazungusha
Chameleone kipepeo turuke!
Repeat Chorus 2x
Kama kipepeo napepea bila tatizo
Napepea hewani mungu ndio uwezo
Kujenga jiina nibidi sio mchezo
Na kulitunza pia kazi ngumu sio likizo
Tanzania ndugu zangu watafurahi
Kwenye streets za Kenya nita pewa Hi
Uganda,Rwanda,Burundi,Congo Wako high,
Sababu yakumuona Chameleone butterfly!
Repeat Hook 2x
Repeat Chorus 4x
Dance mpya kipepeo
East Africa tunacheza Kipepeo
Uganda Kipepeo
Tanzania Kipepeo
ata Kenya Kipepeo
Rwanda, Burundi, Congo Kipepeo
Dance mpya kipepeo
Kila mtu anacheza kipepeo