Yo what′s up
Nothing much, i have a big problem
What's wrong tell me, tell me
Nina mwanamke
Ninampenda kuliko chochote
Anauponza moyo wangu
Kila nikimuona, kila kitu kina kuwa sawa
Lakini wazazi wake
Vile ya akitabasamu, i see an unborn president
Vile akiongea, i see a future counselor
Vile akicheka, i see all possibilities
Amekua akinivumilia
Lakini ukabila
Amekua akinivumilia
Lakini ukabila
Amekua akinivumilia
Lakini ukabila
Amekua akinivumilia
Lakini ukabila
Umetutenganisha, ooh
Umetutenganisha, ooh
Pole sana homey
I know you love her, Lakini tutafanya nini?
Her mother and her father, they don′t like you
Coz you're not the same tribe
Wee ni tribe ya east, sio west side
When you talk, you don't sound like them
I know you feel pain
I do understand
Mwanamke anakupenda sana
Ila huwezi kuignore
Her parents
Akufuata wee for sure
Afadhali ungekuwa na cash
Maybe ingeweza change situation
Lakini sio case
It can′t right
Coz they don′t like your tribe
I talk to her sometimes
Last time she was crying
It's all about you
Amekumiss kipenzi chake
Now i′m with you
Pokea zawadi kutoka kwake
She gave me some stuff
Please open for yourself
Anakupenda sana
Usiwe na nyingi stress
I want to make it official, but her father
I want to make it official, but her mother
I want to make it official, but her sister disagrees
I want to make it official, but her brother
Amekua akinivumilia
Lakini ukabila
Amekua akinivumilia
Lakini ukabila
Amekua akinivumilia
Lakini ukabila
Amekua akinivumilia
Lakini ukabila
Umetutenganisha, ooh
Umetutenganisha, ooh
Wazazi naomba mtubariki
Watoto wenu tulopendana
Wala msiwe kikwazo
Cha Kutufanya sisi tulopendana
Tukashindwa kuowana
Kwasababu ya ukabila, mali, dini, yeah
I hope the message is delivered
Kenneth Mugabi
Kenneth Mugabi
Kenneth Mugabi
Kenneth Mugabi
Kenneth Mugabi
Kenneth Mugabi
Kenneth Mugabi
Kenneth Mugabi
Kenneth Mugabi
Kenneth Mugabi
Kenneth Mugabi
Kenneth Mugabi