0:00
3:02
Now playing: Upendo

Upendo Lyrics by Spice Diana ft. Zuchu


(Spice Dina)
Umepata mabinti lakini
Mimi napiga kama kush
Nimeshika maboss wa Kampala
Wote nikawa-crush

Jina langu ni Diana
Nilikuwona toka jana
Sasa kama tumekuta
kila kitu baby we are gonna do

Upendo oooh, Upendo oooh
Upendo sio magic huu ni upendo
Upendo oooh, Upendo oooh
Upendo sio magic huu ni upendo

(Zuchu)
Mapenzi, Mapenzi
Yamenizidi kwa kichwa
Me mwenzu siwezi
Mapenzi, Mapenzi
Yamenizidi kwa kichwa
Tena mwenzu siwezi

Akinipa karroti naidandia
naikula kavu kavu
Na visamba soti umainulia
Aichane mpaka nyavu

To the left, Kulia (Kulia)
Atakacho mimi sawia (sawia)
Kama kasheti vibagia (bagia)
Chachandu uniwangia

Akinipa karroti naidandia
naikula kavu kavu
Na visamba soti umainulia
Aichane mpaka nyavu

Ameni-touch touch iyoo
Amenigusa gusa
Vya juu, vya chini, vya nje
Vya kati pia
Amenigusa gusa

Ameni-touch touch iyoo
Amenigusa gusa

Spice Diana Singles